Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Poa kabisa,habari ya huko ulikoUnaniuliza nimejuaje huku nimefika hapa nimekugongea mlango wa huku mbele hata hunisikii.
Mambo poa msela wakudum kang
Kungekuwa na jibapa tu,huyo mwenye kofia ningesema ni mzee wa tukuyu
Zuri kidogo hadi utakapo kuja kufungua mlango kwanza hapa nje.Poa kabisa,habari ya huko uliko
Kwani funguo umeacha bar??Zuri kidogo hadi utakapo kuja kufungua mlango kwanza hapa nje.
Hii dunia ilikofikia sasa,Mungu atusamehe kwakweliDunia simama nishuke [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
![]()
Sijajua zimeacha wapi bar umenikataza kufikaKwani funguo umeacha bar??
Mzee kibumbu himselfNimepita kuchungulia