Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii ni nukuu ninayoipenda kutoka kwa Lionel Messi. Inanikumbusha kuwa mafanikio ni mchakato wa muda mrefu na sio jambo la usiku mmoja. Acha kutafuta njia ya mkato, au mfumo wa kupata utajiri wa haraka. Rumi haikujengwa kwa siku moja, wala Steve Jobs hakuanza kampuni ya Apple kwa usiku mmoja.
 
Mbinu nzuri kabisa na mbadala ni kusoma vitabu vya dini unaambiwa hivi shetan ana nguvu bana akikuona tu umeshika kitabu cha kumchoma moto anauleta usingizi haraka
Hapo sasa. Kuna ule wimbo wa Bony Mwaitege analalamika kuwa kila akitaka kusoma Biblia basi anasinzia; na anamlalamikia na kumkemea shetani. Kumbe ni kinyume. Shemeji kamata Biblia hapo haraka ujitose kitandani [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
d0a07c5cbe746d83c79879bb14e4331c.jpg
 
Back
Top Bottom