Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimesalimika shem,yaani acha tu hapa kichwa chote hakifanyi kazi na sijaona dalili za kulala mapema[emoji30][emoji30]
Kwema huko?
Huku kwema. Itabidi ulale ama itafika mahali utashindwa kufanya kazi. Kwa vile mganga hajigangi, muombe Dr. Numbisa akupe mbinu mbadala za kuweza kupata usingizi kama hutaki kumeza sleeping pills.
 
Huku kwema. Itabidi ulale ama itafika mahali utashindwa kufanya kazi. Kwa vile mganga hajigangi, muombe Dr. Numbisa akupe mbinu mbadala za kuweza kupata usingizi kama hutaki kumeza sleeping pills.
Mbinu nzuri kabisa na mbadala ni kusoma vitabu vya dini unaambiwa hivi shetan ana nguvu bana akikuona tu umeshika kitabu cha kumchoma moto anauleta usingizi haraka
 
Wakati Messi akiwa mdogo, alibainika kuwa na tatizo au maradhi ya kuwa na upungufu wa seli za ukuaji. Akiwa na umri wa miaka 13 alihamia Uhispania na kujiunga na klabu ya Barcelona ambayo ilikubali kugharamia matibabu yake.
 
Pamoja na changamoto alizokuwa nazo Messi amefanikiwa kupata mafanikio makubwa sana. Messi anachukuliwa kama mchezaji bora zaidi duniani na mmoja kati ya wachezaji bora waliowahi kuwepo. Messi ni mchezaji pekee aliyeshinda tuzo ya FIFA ya Ballon d’Or mara tano, zikiwemo nne mfulilizo. Pia ni mchezaji pekee aliyeshinda tuzo ya kiatu cha dhahabu (European Golden Shoes) mara nne.
 
Messi anatukumbusha kuwa kama una ndoto, unatakiwa ufanye kazi kwa bidii kuzifikia. Mafanikio hayaji kwa urahisi. Kuna gharama ambayo ni lazima uilipe na uwe tayari kuilipa. Watu wengi hawafanikiwi kwa sababu hawataki kufanya vitu ambavyo vitawafanya wazalishe matokeo yasiyo ya kawaida. Ni lazima uende zaidi, maili moja zaidi, uweke jitihada zaidi, uamke mapema na kuchelewa kulala kwa kuhakikisha tu unafikia ndoto zako.
 
Back
Top Bottom