Ana watoto wangapi huyu mama? Limguu la bia dah !!!
Ana watoto wangapi huyu mama? Limguu la bia dah !!!
Umesalimika shemeji? Kazi na ma-insomnia yale? Leo hakikisha unajidamka kulala mapemaaaaa !!![emoji4][emoji4][emoji4]ulijuaje
Mambo dogo
Akili ndogo kutawala akili kubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]“Akili kubwa hujadili mawazo, akili ya wastani hujadili matukio, akili ndogo huzungumzia watu.”
Eleanor Roosevelt
Amejitunza kwa kweli.....Watano
Jamaniiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna ligi hapa, kinachoendelea hapa ni kivuli cha mpira, si mpira hasa ule unaoshabikiwa na wenzetu
Nimesalimika shem,yaani acha tu hapa kichwa chote hakifanyi kazi na sijaona dalili za kulala mapema[emoji30][emoji30]Umesalimika shemeji? Kazi na ma-insomnia yale? Leo hakikisha unajidamka kulala mapemaaaaa !!!
Mkuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ingekuwa jukwaa lingine ningesema 'weka picha'
Kuna team nanilii wanamuita bibi ati hapo keshazeekaAmejitunza kwa kweli.....