Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuamini unaweza na inawezekana

“Hakuna shaka, kwa hakina nitafikia asilimia 100”
Lionel Messi
Bila shaka watu wenye malengo na maono wanaamini kuwa wanaweza kufikia asilimia 100 ya malengo na maono yao. Lionel Messi analifahamu hili vyema na anaamini kuwa kwa kiasi fulani anaweza kufikia asilimia 100 ya mafanikio yake. Jitahidi kubadili kufikiri kwako na kuamini kuwa unaweza kufikia na kuishi ndoto zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…