Mliomchagua kaogopa hahahahaDuh! Mimi huko nita pass my dear! Maana duh!
Huwa sipendi maumivu wala kuona mtu anaumia! Wee pata likes tu ndugu yangu
Mumewe ni Meja Jenerali Mosad trained. Jipange!ISIS NAKUPENDA AHA!
Karibu unatakiwa kibitiNimerudi makamanda
Itabidi uwe OSIRIS the goddess of dead ndiye alikuwa mume wakeISIS NAKUPENDA AHA!
HahahahaMumewe ni Meja Jenerali Mosad trained. Jipange!
Nilipotea kidogo ila baadae uje kusemaSambaza basi! Mbona sizioni likes zako?
Hahahaha ndio nimesharudi mpenzi,andaa tu hako ka key.Baby nilisema ukienda ukarudi nijulishe tukae kamati. Ulivyo enda sijui ulikutana na mkokoteni wa hela za Chenge?
HahahhajaNashukuru mama upendo haupungui mama
Safi sana mkuuKama kawa mkuu
Macho yatakuuma huko nyuma. Njoo huku mbele kuna mwanga wa kutosha!Dah...itabidi mnibrief nimejaribu anzia nyima naona siwafikii
Nakuona unakuja...Nipo nyuma huku
Hahahah mtaniua wazeeGeJo nahisi lengo lako ubaki na kichwa Kichafu kwa uhuru
Poa mkuu ukifika nakuachia kijitiNakuja huko mbele nipo 31 min ago
AsanteNashukuru mama upendo haupungui mama