Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hukuwezesha kujifunza na kukumbuka

Baadhi ya watu wamebainisha kuwa wanaposoma au kujifunza mambo kadhaa wakati wakisikiliza mziki, basi hufanikiwa kuyamudu maswala hayo vyema. Si jambo la kustaajabisha kuwaona watu wakisikiliza mziki huku wakisoma vitabu, majarida, tovuti nk.
 
Hukuwezesha kujifunza na kukumbuka

Baadhi ya watu wamebainisha kuwa wanaposoma au kujifunza mambo kadhaa wakati wakisikiliza mziki, basi hufanikiwa kuyamudu maswala hayo vyema. Si jambo la kustaajabisha kuwaona watu wakisikiliza mziki huku wakisoma vitabu, majarida, tovuti nk.
 
Hupunguza maumivu

Mwanamziki Bob Marley alisema “Jambo zuri kuhusu mziki ni kuwa unapokupiga hausikii maumivu”

Pia utafiti uliofanyika katika chuo cha Drexel cha Philadelphia ulibaini kuwa mziki wa taratibu au wa jadi, hupunguza maumivu kwa wagonjwa wa saratani pamoja na wale walioko katika kitengo cha uangalizi maalumu (ICU). Je bado hauhitaji kusikiliza mziki? Naamini sasa unahitaji.
 
Hukuhamasisha

Wakati mwingine unakata tamaa au unakutana na mawimbi mengi sana maishani kiasi cha kuzidiwa. Ni dhahiri ipo miziki inayotia watu moyo na kuwahamasisha. Ipo mifano ya watu wengi waliotaka kujiua lakini baada ya kusikiliza miziki inayowaeleza umuhimu wa kuendelea mbele na maisha walisitisha mpango wao. Hivyo kusikiliza mziki kunaweza kukuhamasisha kuendelea kutoka ngazi moja hadi nyingine.
 
Ni dhahiri kuwa yapo manufaa kadha wa kadha yatokanayo na kusikiliza mziki. Ni wazi kuwa mziki huboresha na kuweka afya za miili na akili zetu katika hali nzuri. Kama mziki una tija hivi kwa nini husikilizi ili nawe unufaike? Chagua mziki unaoupenda na uanze kusikiliza ili nawe unufaike.
 
Unalinda afya yako

Chakula ulichokipika wewe mwenyewe utakifahamu vyema. Hivyo chakula unachokipika wewe utahakikisha ni salama na bora kwa ajili ya afya yako. Hili ni tofauti na vyakula vinavyoandaliwa na mtu mwingine au katika mazingira ya kibiashara kwani kwa kiasi kikubwa huandaliwa kwa lengo la kupata pesa na si kulinda afya yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…