Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Jibapa siliwezi aisee. Mvinyo mwekundu au Pink Moscato sawa.Buku saba(7000)nafikiri,ila tumuulize mzee wa tukuyu naona atakuwa na majibu sahihi
Vipi nikuagizie[emoji38][emoji38][emoji38]
Yu a womuli welikamu hapa Koromije. Enetaimu shemejiOni mai weiiii,sirembi kwenye mambo mzuri hata siku moja[emoji23][emoji23]
Mambo ya ho chi minh mzee mstaaf mwenzangu huyoJamaniiii !!!
Inawezekana kutofanya makosa? Nafuatilia kwa uangalifu?Je wewe unapenda kufanya makosa? Mimi binafsi sipendi kufanya makosa.
Ingawa watu wengi wamekuwa wakijaribu kujitahidi kuepuka makosa; bado wamejikuta wakiendelea kufanya makosa.
Inawezekana kidogoInawezekana kutofanya makosa? Nafuatilia kwa uangalifu?