Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tapatalk_1507783693336.jpeg
 
Jibapa siliwezi aisee. Mvinyo mwekundu au Pink Moscato sawa.

Mzee wa Tukuyu alikuwemo humu jana mida ya wanga leo sijamuona. Habari zake njema ulizipata? Miujiza inaendelea kutendeke [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mvinyo mwekundu[emoji39][emoji39][emoji39]
Sijui kwanini napenda vitu vitam daah!
Nimezipata,Mungu mkubwa kwakweli,nilikuwa naye humu leo asubuhi,tukafanya fujo kidogo akaondoka na mimi nikasepa
 
Back
Top Bottom