Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

559dae0ae613636cd94bace0cc9c5a4c.jpg
 
Hutukumbusha juu ya ubinadamu

Binadamu ni kiumbe dhaifu kinachokosea. Kwa njia ya makosa tunakumbushwa kuwa sisi ni binadamu, tena tuna udhaifu na hatujakamilika.
 
Hutufundisha kuwa mafanikio siyo kila kitu

Ikiwa unafanikiwa kila mara, ni rahisi kujiaminisha kuwa mafanikio ndiyo kila kitu kwenye maisha. Lakini utakapofanya makosa na kushindwa utabaini kuwa bado maisha yanendelea kama kawaida.
 
Back
Top Bottom