Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hutufundisha muda sahihi wa kufanya mambo

Makosa mengine hutokea kwa sababu maamuzi au jambo limefanywa nje ya wakati. Kwa kupitia kosa, tunaweza kujifunza ni wakati gani stahiki tunapaswa kufanya jambo au maamuzi fulani.
 
Kutuonyesha matatizo kwenye mahusiano

Matatizo kwenye mahusiano hubainika hasa pale mtu mmoja anapomkosea mwingine.

Kila upande utajitahidi kutaja na kuonyesha matatizo yaliyopo kwenye mahusiano husika ili kuficha kosa; hivyo kwa njia hii makosa yatawezesha kubaini matatizo yaliyoko kwenye mahusiano.
 
Mvinyo mwekundu[emoji39][emoji39][emoji39]
Sijui kwanini napenda vitu vitam daah!
Nimezipata,Mungu mkubwa kwakweli,nilikuwa naye humu leo asubuhi,tukafanya fujo kidogo akaondoka na mimi nikasepa
Tuendelee kuomba shemeji. Mungu ni mwema sana. Natamani siku moja sote watatu tukutane. Ikibidi na dad awepo akiwa wa nne wakati huo keshapona kabisa. Tumfanyie kisherehe. Tuzungumze. Tufurahi. Tumshukuru Mungu wetu. Itakuwa furaha mojawapo ya kweli kabisa kabisa. Siku ya maajabu !!!
 
7e981a1e68d4d656ce19e9bd5ed7d630.jpg
 
[emoji7]________________[emoji7]
2days weather 4cast:

it wud b cloudy if u frown,
rainy if u cry,
clear if ur happy,
sunny if u smile &
stormy if u sing!

[emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️
 
Tuendelee kuomba shemeji. Mungu ni mwema sana. Natamani siku moja sote watatu tukutane. Ikibidi na dad awepo akiwa wa nne wakati huo keshapona kabisa. Tumfanyie kisherehe. Tuzungumze. Tufurahi. Tumshukuru Mungu wetu. Itakuwa furaha mojawapo ya kweli kabisa kabisa. Siku ya maajabu !!!
Mungu ni mkubwa sana mana hata sasa unaweza hisi tabasamu usoni mwake
Inshaallah Mungu afanye wepesi ikiwezekana tuje koromije nipate kale ka ofa ka ndama[emoji85] [emoji85]
Mungu aendelee kumtunza kwakweli
 
Amen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom