Tatizo ni huu uzi. Haki ya nani uzi huu utakuja kuleta madhara makubwa huko mbele ya safari - BP, Insomnia, depression, mipango kudorora, migraines, irritation, chronic tiredness, viganja kuuma, arthritis, matatizo ya macho, shingo, simu kuchakaa mapema na msururu mwingine wa matatizo. Mimi karibu nitachukua maamuzi magumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usingizi umeyeyuka ghafla
Naamini hata uzi huu unachangia aisee. Numbisa naye nimemuona kule analalamika usingizi sijui unasumbua. Cole naye eti umekata. Mi mwenyewe ni hivyo hivyo tu. Zisi iz denjarazi jamani....Yaani salio limekata la usingizi
Hili tatizo lishaanza kuwa kubwa[emoji19][emoji19][emoji19]
Ilikuwa ndoano. Kaimeza yote kabisa pamoja na kijiti chote. Mpaka anaita na ipielooo unafikiri mchezo?.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ulimlenga kabisa[emoji23][emoji23]
Maamuzi yapi tena hayo broTatizo ni huu uzi. Haki ya nani uzi huu utakuja kuleta madhara makubwa huko mbele ya safari - BP, Insomnia, depression, mipango kudorora, migraines, irritation, chronic tiredness, viganja kuuma, arthritis, matatizo ya macho, shingo, simu kuchakaa mapema na msururu mwingine wa matatizo. Mimi karibu nitachukua maamuzi magumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maamuzi magumu...Maamuzi yapi tena hayo bro