Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1507840256078.jpg
 
*KUNA GHARAMA HAPA?*[emoji383][emoji780]

1. Inakugharimu kiasi gani kumsalimia mlinzi anaekufungulia geti ukiingia kazini?

2.Inakugharimu kiasi gani kumuomba mfanya usafi akuruhusu upite kuliko kukanyaga mahali alipodeki na hapajakauka bado?

3.Inakugharimu kiasi gani kumsalimia mtu ambae mmekaa nae seat moja safarini?

4.Inakugharimu kiasi gani kusema Asante kama MTU amekutendea vyema??

5.(Kwa Wanaume) Inakugharimu kiasi gani Kusema samahani kwa mke wako unapokosea au unapochelewa kurudi nyumbani?

6.Je Inakugharimu kiasi gani kumpakulia mke wako chakula baada ya yeye kupika?

7.Inakugharimu kiasi gani kupokea simu na kumwambia mtu Niko ktk mazingira yasiyo rafiki kwa mawasiliano kuliko kuacha simu inaita unaiangalia tu au unakata?

8.Inakugharimu kiasi gani kumsalimia na kumtendea vyema mtu usiemjua?

9.Inakughrim nini kutoa nguo ambazo huzivai na kuwapatia wahitaji, au chakula ambacho kimebaki kuliko kumwaga kwann usiwape watu wale?

10.Inakugharimu kiasi gani kupokea simu ya MTU anaekudai na umwambie hujapata pesa yake bado na ukipata utampatia badala yake unazima sim, unabadilisha lain, au unakata sim yake??

11.Inakugharimu kiasi gani kutenda wema hata kwa yule anaekuchukia???

12.Kwani inakugharimu kiasi gani kumnunulia nguo nzuri house girl/boy wako kukaa pamoja kula pamoja kwanini yeye anakula jikoni ninyi mezani? mkitoka outing familia yako na house girl wako, basi mavazi yake na mwonekano wake tu humtambulisha, kwanini?

13.Itakugharimu nini wew bosi/manager kuwasalimia au kucheka na wafanyakazi walio chini yako?

14. Wewe mzazi itakugharimu kitu gani kumwambia mwanao unampenda!?

15. Wewe mke itakugharimu kitu gani kumwambia mmeo unampenda!?

*ITAKUGHARIMU NINI KUITUMA HII KWA WENGINE?

Barikiwa [emoji1317][emoji1317]
 
Wakati wanajiandaa na Kibao chao cha kuitwa CREEP yeye Left Eye alikataa kushiriki.

Na hata walipofanya Video ya Kibao hicho hicho cha kuitwa CREEP alikataa pia.

Yaani wenzake baada ya kumbembeleza sana, ndio akakubali kuwepo (kuonekana) kwenye Video hiyo, lakini kwa sharti moja tu!

Ambalo kutokufungua kinywa chake.

Unafahamu kwanini?

Shuka chini
 
Back
Top Bottom