Usiku mwemah."Mwenye busara hujifunza katika maswali ya kipumbavu, kuliko mpumbavu anavyojifunza katika maswali ya busara" -Bruce Lee,Novemba27,1940-Julai20,1973
Mimi ni mpishi mzuri shemeji. Na madarasa nimesoma kabisaa just out of curiosity. Mitihani nikafaulu. Na cheti nikapata !!! [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Kama Andjul yupo leo basi nafwaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mwanaume akijua kupika me hoooii[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Haya mambo mengine bhana
Sasa wewe mbona....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee,ho chi minh na siksi paki???Nimepishana nae yupo serious anaenda kwake tayari amenunua.
ho chi minh njoo utupe mrejesho wa hizo six park na kitambk chako cha gongo kali
[emoji124] [emoji124]sisi ni ndugu,sisi sote ni ndugu.Sisi ni ndugu, watoto wa baba mmoja [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji443]Rudia tena shemeji,yaani hapa nishadondoka[emoji87] [emoji87]
Naomba nije koromije kwakweli nipate hiyo bahati hata siku 1[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Niko poaSana naweje
Sh 7,500/=[ila swali sikuulizwa mimi,kiherehere tu]Asante shemeji. Hivi jibapa siku hizi linauzwa sh ngapi?