Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji120] [emoji120] ni maneno ya kutia moyo.Tuendelee kuomba shemeji. Mungu ni mwema sana. Natamani siku moja sote watatu tukutane. Ikibidi na dad awepo akiwa wa nne wakati huo keshapona kabisa. Tumfanyie kisherehe. Tuzungumze. Tufurahi. Tumshukuru Mungu wetu. Itakuwa furaha mojawapo ya kweli kabisa kabisa. Siku ya maajabu !!!
Amen[emoji120] [emoji120] Mungu huwanyamazisha wamliliao.Mungu ni mkubwa sana mana hata sasa unaweza hisi tabasamu usoni mwake
Inshaallah Mungu afanye wepesi ikiwezekana tuje koromije nipate kale ka ofa ka ndama[emoji85] [emoji85]
Mungu aendelee kumtunza kwakweli