Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usingizi umeyeyuka ghafla
Tatizo ni huu uzi. Haki ya nani uzi huu utakuja kuleta madhara makubwa huko mbele ya safari - BP, Insomnia, depression, mipango kudorora, migraines, irritation, chronic tiredness, viganja kuuma, arthritis, matatizo ya macho, shingo, simu kuchakaa mapema na msururu mwingine wa matatizo. Mimi karibu nitachukua maamuzi magumu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani salio limekata la usingizi
Hili tatizo lishaanza kuwa kubwa[emoji19][emoji19][emoji19]
Naamini hata uzi huu unachangia aisee. Numbisa naye nimemuona kule analalamika usingizi sijui unasumbua. Cole naye eti umekata. Mi mwenyewe ni hivyo hivyo tu. Zisi iz denjarazi jamani....
 
Maamuzi yapi tena hayo bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…