Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kagunguli hapo. Hupakumbuki?

Imevuka kiwango ama? Mjasiriamali huyu. Anashona, ana-model na kuuza mwenyewe. A real hustler and South African themed line of clothing is doing real well...

Ni kweli, panaweza kuwa Kagunguli hapo; sababu majabali ya mawe yamezidi! [emoji23][emoji23] That’s good for her, na ni msupa pia! [emoji1][emoji1]
 
Nafikiria kupumzika kidogo uzi huu. Au nifanye kama anavyofanya KK. Nakuja kwa muda kidogo nataniana na watani na kusalimia halafu nasepa. Ushauri puliiziii !!!
Mmh!ila ukiondoka sijui wengine tutakuwa katika hali gani
Ila kama waona ni jambo zuri kwako si mbaya kufuata kile moyo unataka[emoji15][emoji15][emoji15]
 
image-4-520x784.jpg
 
Mimi si sababu ya uzi
Nahisi kuna shida nyingine kwakweli
Hiyo shida nyingine unaijua?

Relationship issues?

Financial?

Spiritual?

Emotional?

Hormonal?

Psychological?

Physical?

Kama unaijua ni rahisi kupambana nayo. Shida ni pale mtu usingizi hauji halafu hata sababu huijui. Kwangu mimi nadhani uzi huu unachangia. Bad sleeping habits in general.....
 
Back
Top Bottom