Taraji Henson
Always diplomatic. Always convincing. Haya bana.....Mmh!ila ukiondoka sijui wengine tutakuwa katika hali gani
Ila kama waona ni jambo zuri kwako si mbaya kufuata kile moyo unataka[emoji15][emoji15][emoji15]
NAKUSHAURI, "kimbiza uzi mpaka itakapobainika hatima yake"Nafikiria kupumzika kidogo uzi huu. Au nifanye kama anavyofanya KK. Nakuja kwa muda kidogo nataniana na watani na kusalimia halafu nasepa. Ushauri puliiziii !!!
Michael Ealy (Macho ya Paka)
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Usingizi wa mgao
Tofauti yake na wengine wanaobinua makalio IG bure yeye anapiga hela. Nadhari tayari keshaanza kuuza nguo zake US. Na ni mke wa mtu na mama wa watoto wawili kama sikosei.Ni kweli, panaweza kuwa Kagunguli hapo; sababu majabali ya mawe yamezidi! [emoji23][emoji23] That’s good for her, na ni msupa pia! [emoji1][emoji1]
Eti ni Bob12[emoji23][emoji23][emoji23]Unajua bado sijamjua aliyekimbia kipenz