Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BZ66unFhQ-r.jpg
 
Mwandiko usiosomeka

Mwandiko unaofaa kwako unaweza usifae kwa wasomaji wako. Hivyo kumbuka uwezo wa kuona na upendeleo wa miandiko hutofautiana baina ya mtu na mtu. Ni muhimu kuhakikisha mwandiko unaoutumia kwenye tovuti au blog yako unasomeka vizuri kwa kila mtu.
 
Muundo mbaya wa tovuti au blog

Kosa la muundo mbaya wa tovuti hufanywa na watu wengi sana, hasa kutokana na maarifa duni ya usanifu mtandao. Kwa mfano unakuta menu iko huku, ukurasa huu uko kule, tangazo limefunika maandishi, vitu vimejibana kwa pembeni
 
Kasi ndogo ya kufunguka

Kutokana na usanifu duni, matumizi ya teknolojia ya zamani au hata kuweka mambo mengi kupita kiasi katika ukurasa mmoja, kunafanya tovuti nyingi kuwa na kasi ndogo ya kufunguka. Unaweza kufanya haya yafuatayo:
 
Punguza picha, video au sauti zinazopunguza kasi ya kufunguka.
Tumia teknolojia za kisasa zinazowezesha tovuti au blog kufunguka kwa kasi (Web compression and caching).
Punguza tovuti za nje zinazofungukia ndani ya tovuti yako kwa njia ya iframe.
Tumia webhost bora.
 
Kulazimisha usajili

Kamwe usifanye kosa la kumlazimisha msomaji au mtembeleaji kujisajili kwa lazima. Hakikisha unaandaa maudhui bora au unampa msomaji kitu chenye thamani kwake kitakachomfanya ajisajili mwenyewe.
 
Hakuna mtu atakayepoteza muda kujisajili kwenye tovuti yako ikiwa anaweza kupata kitu anachokitaka kutoka kwenye tovuti nyingine bila kujisajili; hivyo utapoteza kiasi kikubwa cha watembeleaji.
 
Sauti au video zinazocheza zenyewe

Hakuna kitu ninachokichukia kwenye tovuti kama video au sauti zinazocheza zenyewe. Vitu hivi ni vibaya kwani vinamaliza data pamoja na kutoa maudhui ambayo mtembeleaji hayahitaji.
 
Matumizi mabaya ya picha

Picha ni sehemu muhimu ya tovuti au blog ikiwa zitatumiwa jinsi ipasavyo. Hakikisha unatumia picha zenye ubora stahiki, tena ambazo hazifunguki kwa tabu.
 
Back
Top Bottom