Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Tafakari siku nzima
Sijacomplicate mkuu. Hata sijui jinsia ya jamaa. Hakuna neno kiongozi!Mkuu usicomplicate vitu
Kuna wanawika juu ya paaIlikuwa uani sasa tumeingia ndani. Na humo ndani tuingie mvunguni kabisa...[emoji23][emoji23][emoji23]
Hoja yenye vigezo vinavyohama hama haiwezi kusimama [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Ulale salama mama, kesho Mungu akipendaUsiku mwema wapenzi.
Kamata likes...Uani ni ndani pia
...ndani ya ndani, ndani ya nje, nje ya ndani au nje ya nje?Uani ni ndani pia
Hakuna kipya hapa duniani!Umefanya nini au umepata nini kipya
...Bashite anazingua!Umejifunza nini
Sauti yao ina tofauti na wanaowikia uani?Kuna wanawika juu ya paa
Nje ya ndani.......ndani ya ndani, ndani ya nje, nje ya ndani au nje ya nje?