Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naomba mwaliko...Guys kesho Eid
Naomba mwaliko...Guys kesho Eid
Hahahaaaa,,,, pole sanaNilijaribu nikiwa form two kupiga pafu nikaanguka kidogo nijibamize kichwa kwenye jiwe. Mpaka leo sijagusa fegi ya aina yo yote [emoji23][emoji23][emoji23]
Juu ya paa inafika mbali..Sauti yao ina tofauti na wanaowikia uani?
Pokea..Likes zimeisha Au?
Kama ni NJE basi siyo NDANI...Case closed!Nje ya ndani....
aah ww fegi tu imekudondosha, acha bhanaNilijaribu nikiwa form two kupiga pafu nikaanguka kidogo nijibamize kichwa kwenye jiwe. Mpaka leo sijagusa fegi ya aina yo yote [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo hapa kibiti, napiga nao selfiiiiiii*Mwezi umeonekana kibiti kama unabisha nenda*
Mbona tayari ww ni kituhalafu mfukoni sina kitu
Amina baba.Ulale salama mama, kesho Mungu akipenda
Kila jambo na maana yake.. AfadhaliKama ni NJE basi siyo NDANI...Case closed!
Hahahah nakuaminia sana.Usijali mama hiyo ni moja ya kumi ya matumizi yangu kwa siku
Fegi kubwa..aah ww fegi tu imekudondosha, acha bhana