Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1507996598404.jpg
 
appendicitis ni nini?
ni mashambulizi au maradhi yanayotokana na kuugua kwa kidole tumbo, kidole tumbo ni eneo ambalo linapatikana kwenye utumbo mkubwa wa binadamu upande wa kulia kwa chini.
kidole tumbo au appendicitis ni ugonjwa ambao ni hatari sana na unahitaji matibabu ya haraka kabla mtu hajapoteza maisha.
 
dalili za ugonjwa huu ni zipi?
maumivu makali ya tumbo yanayoanzia kwenye tumbo la chini kushoto kwenda kwenye kitovu.
maumivu makali ya tumbo kwa kuligusa.
maumivu makali ya tumbo la chini kulia wakati wa kukohoa.
homa kali
kichefuchefu na kutapika.
 
dalili muhimu.
rovsing sign; ukikandamiza upande wa kushoto chini, maumivu yanahamia upande wa tumbo chini kushoto

psoas sign; mgonjwa atakutwa amelala huku amekunja mguu wa kulia na akiuunyosha anasikia maumivu.

obtrurator sign; ukiuchukua mguu wa kuume wa mgonjwa na kuukunja na kuuzungusha kwa ndani unasikia maumivu.
 
Back
Top Bottom