kula vizuri; neno kula vizuri ni pana sana yaani linahusisha ulaji wa chakula angalau mara nne mpaka tano kwa siku kwa kaisi kidogo na sio kula milo mizito mitatu kama ilivyozoeleka ili kuongeza kasi ya uchomaji wa mafuta[metabolism].pia kula vyakula jamii ya protini amabavyo hujenga misuli mfano nyama, samaki, mayai, maziwa, karanga, dagaa na etc na sio kula wanga mwingi ambao kimsingi huleta mafuta mwilini kama ugali, viazi, mihogo, wali, maandazi, chapati, keki na jamii zote za vyakula hivi.sio kwamba usile kabisa wanga ila kula kwa kiasi kidogo sana.sahani hapo chini ni mfano wa kiasi cha kula kwa sahani moja yaani mboga na matunda mengi na wali au ugali kidogo