Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Profesheni za watu hizo mkuu.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shkamocarbamazepine nimesikia marashi yako mapya hayo fanya kama kupita hapa
[emoji120][emoji120]salama kabisaMi sijambo shemeji. Wikiendi inaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mambo ya kupigana lock haya.Shkamo
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Mambo ya kupigana lock haya.
Sema nini kusudi lako la kuninyima
Sherlock Holmes nimesoma vitabu na movies zake nimeziona. Alihamasishwa na mwandishi wa hizo madaInawezekana na inawezekana isiwezekane. Mhusika wake mkuu (Bwana MSA) Sherlock Holmes cha mtoto. Kwenye Kisima cha Giningi na Siri ya Sifuri amefanya kazi nzuri sana.