Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Leta pesa kwanza[emoji125] [emoji125]Haya nipe
Leta pesa kwanza[emoji125] [emoji125]Haya nipe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona ndiyo active ingredient kwenye dawa za mswaki na water treatment? Ni mtego wa makampuni ya madawa?flouride ina madhara yafuatayo;
husababisha cancer za aina mbalimbali.
huharibu ubongo kwa mtoto ambaye yuko tumboni.
hupunguza homoni za uzazi
huleta matatizo ya jointi za mifupa.
hupunguza uelewa wa watoto darasani.
husababisha kusahau sana.
hupunguza kinga ya mwili
inapunguza uwezo wa kuzaa kwa mwanaume na mwanamke.
hupunguza urefu wa maisha.
husababisha figo kushindwa kazi
inaua seli za ubongo.
inapunguza uzalishaji wa damu.
inaharibu kuta za tumbo la chakula.
huweza kusababisha ugonjwa wa akili.
inaharibu fidhi za meno.
kuficha macho au mdomo kwa kutumia mikono; hii hutokea bila yeye kufahamu kitaalamu kama subconcious level yaani kibinadamu anashindwa kuuvumilia ule uongo anaosema hivyo atajikuta mwenyewe anaweka mikono sehemu hizo bila kujua ila wewe unayemuuliza maswali ndio utagundua kwamba anadanganya.