Wewe!!!Viroba vipo wapi???
Sigara kali...Underlined!aah ww fegi tu imekudondosha, acha bhana
sipo mim uko waweza endelea ku like na ku comments...What!!?
Iddi ni kesho mkuu?
Hua ananifurahisha na ile broken yake, lol Wema bhana haishiwi vituko```VICTOR WANYAMA amezaliwa kenya mda mwingi anaishi ulaya anahojiwa akiwa Africa anaongea
Kiswahili sasa mhoji WEMA SEPETU uone```
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JumatatuIddi ni kesho mkuu?
Ngoja nitunishe kwanza mfuko then nitakualika, lolNaomba mwaliko...
Na ikifika mbali? Ya Bashite inavuma mpaka jijini Los Angeles kwa yule Bashite mwingine!Juu ya paa inafika mbali..
Nikugonge ma like mangapi minji? Nshapiga kamoja cheki hapo nyuma [emoji4]Nimemiss kula likes
Mkuu unazingua.....sii kwa ninavyokufahamu...Unatumbua tu mkuu. Milestone Park sisi wa huku Gongolamboto wala hatujawahi kuisikia..
Hata Jiografia inaonesha hivyo kua ipo kati katiQur'an tukufu ndio inayosema hivyo
Weee ni Paprika???