ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Gonga Ugongewe, lolNimemiss kula likes
Nipo kama sipo
[emoji106]Jumatatu
Logic ina principles zake. Ndiyo maana ni somo muhimu kwa wanasheria. Mwanzo ulisema uani ni ndani. Kamtego kadogo tu ukasema uani ni nje. Kama ni mahakamani ushagaragazwa tayari. Ndo maana nikasema case closed. Tuendelee kufakamia likes kamanda mengine haya tuyaache [emoji23][emoji23][emoji23]Kila jambo na maana yake.. Afadhali
Yap yap niadje mkuuKichwa kichafu
Viroba vipo wapi???