Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kuungua na mapele ya ngozi;kemikali hizi huweza kuunguza ngozi na kufanya iwe na mabaka baka, chunusi, harara na ngozi isiyokua na afya. kemikali ya hydroquinone hufanya kazi ya kuzuia ngozi kutengeneza kitu kinachoitwa melanin ambacho ni muhimu kwa ajili ya kuleta rangi ya ngozi.
 
huingiza sumu za ndani ya mwili; moja ya madhara makubwa ya kutumia kemikali za kuchubua rangi ya ngozi ni kuingiza sumu mwilini. sumu hizi huingia ndani ya mwili kupitia ndani ya ngozi, kwa vidonge vya kujichubua au sindano zinazotumika kwa kazi hii. madhara yake ni kuharibika kwa figo, kuharibika kwa ngozi, kinga ya mwili kushuka, kupata ngazi sehemu mbalimbali za mwili.
 
kuathirika kisaikolijia; watu wengi waliojichubua na kupata madhara wanakosa amani wakiwa mbele za watu kwa kuhisi kwamba wanasemwa sana kulingana na hali yao ya sasa ilivyo, hii huwanyima uhuru na kuwafanya wawe watu wa kukaa ndani tu au kuvaa nguo za kuficha sura zao muda mwingi.
 
31e022d2b57ae87ab4c6339af342168d.jpg
 
mwisho; kama wewe ndio unaanza kujichubua basi ujue uko kwenye hatari kubwa, inawezekana kwa sasa mambo yako ni safi kwamba umeshakua mweupe na kila mtu anakusifia lakini naomba nikwambie mbio zako za sakafuni zina ukingo..... kama umeshaathirika tayari basi ni wakati wa kuacha na kuomba msaada wa matibabu ili urudi kwenye hali yako ya kawaida.
 
Pure western view. I will never terminate my relationship with my parents and siblings - no matter how toxic they are or how bad they treated me in the past. My open minded love through Jesus Christ will eventually conquer their shortcomings [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom