Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

c7e85939a0d11ca32a4bcade8e28ffd8.jpg
 
2 Anaitwa Black Mamba

Black mamba wanapatikana kwa wingi katika maeneo mbalimbali ya bara la afrika. Inasemekana nyoka huyu ndio nyoka mwenye kasi zaidi kati ya nyoka wa nchi kavu akiwa anafika 12m/hr (mita kumi na mbili kwa lisaa). Pia anajulikana kwa kushambulia kwa usahihi na nguvu kubwa, na kwa kuongezea ana uwezo wa kugonga mara kumi na mbili kwa mpigo mmoja kana kwamba hivyo vyote havitishii sumu ya black mamba ina kitu kinaitwa post-synaptic neurotoxin na ana uwezo wa kuidunga kwa ujazo wa 1/250 oz, kiasi hicho kinatosha kusababisha kifo kwa asilimia 50%, Ikiwa itatokea umegongwa na nyoka huyu basi utapata homa, kutokwa na udenda kupitiliza, lakini pia misuli ya mhanga wa nyoka huyu itakuwa inafanya kazi kinyume na utaratibu, mfumo wa upumuaji pia utafeli kufanya kazi hivyo basi kupelekea kifo ndani ya dakika 15 hadi saa 1 tangu kuingia kwa sumu ya black mamba mwilini
Nyoka huyu kwakuwa tunao wengi hapa TZ ni vema kila mmoja ajifunze tabia za nyoka huyu ili kujihami. Maana ni hatari sana

d8e42e77cf28011c1b70328f974cc07d.jpg
 
Back
Top Bottom