konge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 6,621
- 41,334
Habari yako rafiki konge
Nipo bomba mkuu
Habari yako rafiki konge
Niko poa mkuu, tupo tunasukuma likesKiongozi wangu.
Mimi ni Mzima wa Afya.
Nashukuru sana.
Vipi na wewe Kiongozi?
Unaendeleaje?
Safi mkuuNipo bomba mkuu
Safi sana KiongoziNiko poa mkuu, tupo tunasukuma likes
SHABAAASH!!!!
Nakupata mkuu6 Anaitwa Philippine Cobra
Wanapatikana kaskazini mwa nchi ya philipino, kobra huyu ndie mwenye sumu kali zaidi ya kobra wengine. Matokeo ya sumu ya nyoka hawa ni kupooza kwa mfumo wa neva za mwili na upumuaji ambayo inafanya kupumua kuwe kwa shida. Lakini madhara mengine ni pamoja na maumivu ya kichwa, kutapika, kuharisha, kichefuchefu na maumivu ya tumbo pia yatajitokeza. Kifo kinaweza kukuta ndani ya dakika 30 tokea kung’atwa na nyoka huyu, kuwahi kufa huku ndio kunasababisha nyoka huyu awe na hatari kubwa.
Sawa, twende7 Anaitwa Tiger Snake
Nyoka huyu ni miongoni mwa reptilia wakali zaidi ambao wanapatikana kule Australia. Inasemekana kwamba ndio nyoka wenye sumu ambayo ni hatari zaidi. Sumu yake ina presynaptic neurotoxins na procoagulants, ambayo kama ikiwekwa kwenye mwili wa binadamu inasababisha kupooza na kuishiwa nguvu kwa misuli ya binadamu na pia huingiliana na vitamin K ambayo inahusika na kugandisha damu na kupelekea kutokwa na damu bila kuganda.
Pamoja mkuu9 Anaitwa Inland Taipan
Australia ni nyumbani kwa nyoka wenye sumu kali zaidi nyumbani na nyoka huyu ni miongoni mwa wale wengi ambao wamo nchini humo. Anachukuliwa kama nyoka hatari zaidi duniani kwasababu pigo moja tu la sumu ya nyoka huyu anae sisimua hadi uti wa mgongo lina uwezo wa kuua hadi binadamu 100. Sumu yake ambayo ina mchanganyiko mzito wa neurotoxic ina uwezo wa kushambulia mfumo wa neva kwa haraka na kuuharibu kabisa, amejipatia umaarufu wa kuwa nyoka wa ardhini mwenye sumu kali zaidi, dalili za kung’atwa na nyoka ni pamoja na kutapika na kupooza. Bahati nzuri ni kwamba ni nadra mno kukutana na nyoka huyu kwasababu huwa na aibu kubwa mno na mara nyingi hujificha kwenye nyufa za majabali na kwenye misitu.
Yes, napenda sana habari za hawa viumbe10 Anaitwa Belcher’s Sea Snake
Nyoka huyu ana rangi ya manjano, mwili mwembamba na urefu wa kawaida juu kidogo ya futi 3. Nyoka huyu wa baharini anaweza kuonekana ni mwenye tabia nzuri na mara nyingi huwa hatoi sumu pale anapong’ata, lakini utashangazwa na jinsi gani sumu yake ilivyo na uwezo wa kuua, milligram chache tu zinatosha kuua watu 1000 (elfu moja), hii ina mfanya nyoka huyu awe hatari zaidi ya nyoka mwenye sumu kali zaidi kwa nchi kavu Inland Taipan.
Ni kweli1.Jike uwa ni mkubwa na mzito kuliko dume
Asee!!!3.Uzito wa kifutu msitu wakati mwingine hufikia mpaka kiligramu 20
Umesomeka5.Ana kichwa chenye umbo la pembe tatu,shongo nyembamba, mwili mkubwa na mnene.