Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata Jiografia inaonesha hivyo kua ipo kati kati
Hakuna hoja hapo. Katikati ya duara panaweza kuwa popote ukiamua. Ndiyo maana kuna wanaodai kuwa mapiramidi ya Misri yamejengwa katikati ya dunia. Hata ya Mayans kule Mexico. Leo hii nikisema Koromije ni katikati ya dunia na magrid haya ya kinadharia nikachora, nani atanibishia? Tule likes tu haya mengine tuyawache. Kamata likes...
 
573d15ee28da98fbf11e61116dea0105.jpg
Marais wote walioitawala Kenya tangu ipate uhuru wapo katika picha hii!
 
Back
Top Bottom