Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kufunga huongeza uwezo wa akili kufanya kazi; kikawaida binadamu hua na uwezo mkubwa sana tumbo likiwa wazi kuliko akiwa amekuala...hebu fikiria kama umeshawahi kua mwanafunzi.vipindi vyote vya asubuhi watu hua makini sana lakini wakishakula mchana wote huanza kusinzia.wagunduzi wengi wakisayansi waligundua usiku sana wakiwa bila kitu tumboni.
 
kufunga hufanya mtu achelewe kuzeeka; mara nyingi uzee husababishwa na mwili kuanza kuchoka hasa upande wa umeng'enyaji wa chakula. na siku zote watu wanaokula sana hunenepa na kuanza kuonekana wazee tangu wakiwa wadogo. lakini ufungaji wa kula husaidia kua mwembamba na kuonekana kijana siku zote.
 
Arsenal ilitawala kipindi cha kwanza, huku Xhaka akizuiliwa nafasi yake na mlinda mlango wa Watford, Heurelho Gomes kabla Hector Bellerin ajapiga shuti la mguu wa kushoto lililopita karibu na lango.
Watford ilibadilika baada ya kuingia kwa Richarlison iliongeza mashambulizi mengi kwa upande wao,Kabla ya saa ya mchezo,
 
Nyota wa Arsenal Danny Welbeck alitolewa nje na nafasi yake ilichukuliwa na Mesut Ozil na hakuchukua muda Mjerumani huyo akamtengenezea nafasi Alex Iwobi ambaye mpira wake uliokolewa na Gomes.
Ozil kidogo aipatie goli la pili Arsenal baada ya kujikuta mwenyewe katika eneo la kumi na nane lakini mchezaji huyo shuti lake lilishindwa lenga goli kwa ustadi.
 
Baada ya Arsenal kukosa nafasi ya wazi ,Watford walifanikiwa kupata penati. baada ya Bellerin kumpiga kikumbo Richarlison ndani ya eneo la hatari na Deeney hakufanya kosa kwa kumtuma Petr Cech njia isiyofaa na kuwa goli lake la kwanza la ligi katika mechi 14.
Dakika kumi za mwisho kidogo Etienne Capoue aipatie timu yake goli la pili wakati risasi yake kali ilipongonga mwamba baada ya kumgusa Mertesackert.
 
Baada ya Arsenal kukosa nafasi ya wazi ,Watford walifanikiwa kupata penati. baada ya Bellerin kumpiga kikumbo Richarlison ndani ya eneo la hatari na Deeney hakufanya kosa kwa kumtuma Petr Cech njia isiyofaa na kuwa goli lake la kwanza la ligi katika mechi 14.
Dakika kumi za mwisho kidogo Etienne Capoue aipatie timu yake goli la pili wakati risasi yake kali ilipongonga mwamba baada ya kumgusa Mertesackert.
 
Ushindi wa mabao saba kwa mbili umeiwezesha Manchester City kujichimbia vizuri kileleni mwa msimamo wa ligi wakiizidi United pointi mbili
Manchester City imekaa kileleni kwa pointi mbili mbele ya Manchester United katika msimamo wa Ligi Kuu Uingereza, shukrani kwa ushindi wa 7-2 dhidi ya Stoke City katika uwanja wa Etihad.
 
Mawasiliano mazuri baina ya Sane na Sterling yaliiwezesha City kupata goli la tatu kabla ya nusu saa, nyota huyo wa zamani wa Liverpool alimpasia David Silva mbele ya goli na Muhispania huyo alimzidi ujanja Jack Butland.
Goli la Stoke City lilipatikana dakika moja kabla ya kwenda mapumziko baada ya Mame Biram Diouf kugongeana na Jesse kabla ya kuvuta shuti ambalo lilimshinda Ederson.
 
Licha ya kuwa katika wakati mgumu kipindi chote cha kwanza, Mark Hughes alirejea dimbani vibaya wakijimaliza wenyewe Kyle Walker akimfunga kipa wake mwenyewe kufuatia presha kutoka kwa Diouf na kufanya matokeo kuwa 3-2.
Hata hivyo ukinzani wao ulikuwa wa muda mfupi tu kwani City walirejea tena kambani dakika ya 56 kupitia kwa Jesus aliyefunga goli lake la pili akiunganisha pasi kutoka kwa De Bruyne.
 
Back
Top Bottom