Baada ya Arsenal kukosa nafasi ya wazi ,Watford walifanikiwa kupata penati. baada ya Bellerin kumpiga kikumbo Richarlison ndani ya eneo la hatari na Deeney hakufanya kosa kwa kumtuma Petr Cech njia isiyofaa na kuwa goli lake la kwanza la ligi katika mechi 14.
Dakika kumi za mwisho kidogo Etienne Capoue aipatie timu yake goli la pili wakati risasi yake kali ilipongonga mwamba baada ya kumgusa Mertesackert.