Sijaiweka mimi mpenzi. Hujalala tu? Are you lonely like me?Hiyo picha sio nzuri
Bagosha! Lalagi mhola!Good night Mwanza
[emoji23] [emoji23]Sijaiweka mimi mpenzi. Hujalala tu? Are you lonely like me?
Laptop nzuri sana hiyo. Hivi mpya zinauzwa bei gani?
Sumbawanga hatulali wewe [emoji23][emoji23][emoji23]Good night sumbawanga
Unanicheka tu yaani. Haya bana![emoji23] [emoji23]
Hahahaaa,,, pesa yako tu mkuu unaipataLaptop nzuri sana hiyo. Hivi mpya zinauzwa bei gani?
[emoji23] [emoji23] wewe nipe likes za kutoshaa tuuNikugonge ma like mangapi minji? Nshapiga kamoja cheki hapo nyuma [emoji4]
Hiv na sisi baadae tutakuja kuwa wahenga,eti wahenga walisema Gonga ugongewe[emoji23][emoji23][emoji23]Gonga Ugongewe, lol
Nawe piaAganza. Lala salama. Sikukuu njema. Inshallah tusemeshane, kutaniana na kucheka tena hapo kesho...
Hata mimi sina muda mrefu. Lala salama kamanda!Shimbe kamata usukani I'm log off now