Pole! Kama ulilala saa tatu usingizi uliopata unatosha kabisa...Nililala saa tatu,nimeota ndoto mbaya mno kurud kulala naogopa itaendelea bora tu nimalizie usiku huku
Hahahaaaa kwema chief.Badilisha muda wa kuhesabu pesa mkuu. It is that simple. Kwema lakini?
Asante. Siku njema piaPole! Kama ulilala saa tatu usingizi uliopata unatosha kabisa...
Uwe na siku njema [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]