Aisee. Jamaa naye huwa haangalii makunyanzi. Ile kesi nyingine aliyokuwa akishtakiwa kwa kulala na kasichana kengine under age na wakajirekodi kabisa naona alichomoa. Inaonekana jamaa ni hatari sana !!!Ni kweli Kiongozi.
Robert sio Mtu mzuri hata kidogo.
Na alikuwa na mpango wa kumuoa.
Ingawa kulikuwa na Uvumi wa kichini chini ya kuwa walishafanya Ndoa ya Siri
Robert ni KiwembeAisee. Jamaa naye huwa haangalii makunyanzi. Ile kesi nyingine aliyokuwa akishtakiwa kwa kulala na kasichana kengine under age na wakajirekodi kabisa naona alichomoa. Inaonekana jamaa ni hatari sana !!!
Alikuwa mwanamuziki mzuri sana. Kifo chake kilisikitisha wengi hasa ilipobainika kwamba ajali ile ilosababishwa na uzembe tu wa ku- overload ndege bila mpangilio.SHIMBA.
Upo hapo?