mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Good morning DAR ES SALAAM
AminaUpendo wetu udumu
AminaUmoja wetu udumu
UdumuUndugu wetu
AminaNaaaaaam! Kwema babe?
Siku ya Mungu leo. Kutubu madhambi. Unaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
YapUsiku wa kupeana burudani
Mkuu niajeDuuu. Kesho mapema naanza kutoa like
HahahahahaNjooni Tanga ndio mtayaelewa hayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni sifa hii shemeji. Wakikuchezea unawapoteza tu. Wapi Mchina? Wapi Big Baba? Hata Moud naye inabidi ajiangalie sana. Naona anachezea zali...
Kweli mkuuHawa ndio wakali wa R&B.
Ni mkali kweli.
Mpaka ameweza kuwatoa wale Walimbwende wa Miondoko Laini, Kundi lao lilikuwa likiitwa KUT KLOSE.
Kiongozi.
KUT KLOSE unawafahamu?
Sikiliza Vibao ambavyo KEITH yupo na KUT KLOSE.
Kwa kweli Vibao alivyoimba na hawa Walimbwende vinakuwa vimeenda sana Shule