Hakuna mkuuNani kama mama?
YapMama ni mama hatakama ni mnyama atabaki kua mama
R Kelly sio kabisa ana maissue mengi sana kuhusu hizo madaAisee. Jamaa naye huwa haangalii makunyanzi. Ile kesi nyingine aliyokuwa akishtakiwa kwa kulala na kasichana kengine under age na wakajirekodi kabisa naona alichomoa. Inaonekana jamaa ni hatari sana !!!
Mnyama alipata sare Jana kumbeOkwi ameendeleza ufalme wake uwanja wa Uhuru baada ya kufunga bao lake la saba kwenye uwanja huo alipoinusuru Simba dhidi ya Mtibwa Sugar
Goli la Emmanuel Aronld Okwi dakika ya 90 na sekunde kadhaa limeinusuru Simba kulala mbele ya Mtibwa Sugar baada ya kupata sare ya 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Bara jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariRobert ni Kiwembe