mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Alikuwa Na vipaji vyote uigizaji Na muziki kipaji kiliondoka mapema sanaAlikuwa mwanamuziki mzuri sana. Kifo chake kilisikitisha wengi hasa ilipobainika kwamba ajali ile ilosababishwa na uzembe tu wa ku- overload ndege bila mpangilio.
RIP