mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Alikuwa Na vipaji vyote uigizaji Na muziki kipaji kiliondoka mapema sanaAlikuwa mwanamuziki mzuri sana. Kifo chake kilisikitisha wengi hasa ilipobainika kwamba ajali ile ilosababishwa na uzembe tu wa ku- overload ndege bila mpangilio.
Kweli mkuu inauma sana lakini hakuna namna si waje wake mwenye enzi MunguSana Kiongozi.
Aliondoka bado akiwa na Umri mdogo sana.
Kipaji kimepotea mapema sana.
Wewe mwenyewe fikiria,
Alikuwa anaigiza Filamu, Anaimba, Kucheza pia.
Kwa kweli AALIYAH aliwasikitisha wengi.
Yaani kapotea kama Utani
Naona kitu kingine hapo DA BRATAALIYAH, LIL KIM, MISSY ELLIOT na DA BRAT.
HahahahahaDah!
He believes he can fly....
HahahahahaAnd He believes He can touch the SKY😀
Hahahahaha Na kupenda misambandwa ni ugonjwa gani