Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maji hutoa nuru na mng’aro kwa macho na kuhimili kuona kwa sababu kushughulika na taarifa za mwanga kunahitaji nguvu nyingi katika kusafirisha taarifa toka mfumo mmoja katika jicho kwenda katika mfumo mwingine kwenye ubongo ili kutafusiriwa.

39. Maji na mapigo ya moyo vinatengeneza muyeyuko na mawimbi ili kuzuia vitu visivyotakiwa kubaki kwenye mkondo wa damu.
 
Kunywa maji halisi, safi na salama kwa kanuni sahihi, kunausafisha mwili, maji yanaiacha sehemu ya chini ya utumbo mkubwa (colon) kuwa na uwezo zaidi wa kutengeneza damu mpya (fresh blood) ijulikanayo katika lugha ya kitaalamu kama ‘Haematopaises’, kwamba difu la utumbo mkubwa na utumbo mdogo (mucousal fold) huamushwa upya kwa njia hii.
 
Je unazijuwa kazi za maji mwilini? Au ukishakunywa tu na kiu kukatika basi unakuwa huelewi nini kinaendelea baada ya hapo. Mashuleni umhimu wa maji mwilini unafundishwa kwa kiasi kidogo sana na mara nyingi maji ya kunywa yamefundishwa au kuchukuliwa kuwa ni kitu cha kusafirishia viini lishe toka sehemu moja au nyingine tu.
 
bc48228a340c1958090325ddf5fa83e3.jpg
Ya Buyenze orijino....& Son(s)...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom