Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

c97bf4cb4b878089edfd5e7adabd9113.jpg
 
Baada ya oksijeni, maji ndicho kitu pekee ili kuishi. Zifuatazo ni baadhi ya KAZI 41 mhimu ZAIDI za maji mwilini:

1. Bila maji hakuna kinachoishi. Wakati wowote unapopungukiwa maji, baadhi ya seli zako ndani ya mwili hufa.

2. Panapotokea upungufu wa maji, kitu kimoja lazima kipotee, baadhi ya kazi za seli hufa.
 
Maji ndicho chanzo kikuu cha nguvu, maji ndiyo hela ya mwili, bila kunywa maji ni sawa na kwenda dukani bila hela mfukoni.

4. Maji hutumika kama moja ya malighafi katika usanifu na ujenzi wa seli, huziweka seli pamoja.

5. Maji hukinga uharibifu wa vinasaba (DNA), Vinasaba vichache visivyo vya kawaida huzarishwa.
 
Back
Top Bottom