Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6311e0e4fefab0b4c6a05adf77726430.jpg
 
Mayooooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], Hapana tutarudi wote,
That's my girl [emoji23][emoji23][emoji23]. Ila seriously, supu ya konokono ni kiboko. Ni nzito, tamu na iliyojaa virutubisho adimu sana. Tatizo lake inalaza.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
USILOLIJUA KUHUSU KONOKONO
Konokono hana mfupa wowote kwenye mwili wake na pia konokono ni aina ya
"Hermaphrodites",
Kwa maana kuwa wanamiliki jinsia mbili(kiume na kike). Kwenye kujamiiana
wanaviziana, atakaeruhusu kupandwa ndiyo anakuwa jike wakati huo na atataga mayai.Huyo ndio konokono[emoji13][emoji13]:: lakin embu fikiria: binadamu tungekua
"Hermaphrodites" na hizi akili zetu
ingekuwaje? Tungetembeleana kweli? Mkeo ukimzingua anakuvizia usiku umelala anakupa mimba! Unacheka!, shauri yako shukuru Mungu.[emoji13]
 
Back
Top Bottom