Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Halafu unakuja kuambiwa eti umebambikiwa...Dadekiii !!!
Halafu unakuja kuambiwa eti umebambikiwa...Dadekiii !!!
Bro, sijamuona Carba humu tangu juzi/jana. Kulikoni? Umemficha wapi?Broo hii ni hatare
Akili kumkichwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Pata utajiri kwa kasi"....Pata ujltajiri kwa kasi kupitia Sports betting.
Tupo shemeji. Kumepoa humu ziro kabisa...Kwema huko? Dadangu hajambo?Hodiiiiii
Tukuulize wewe.....Hivi Moidgulf yupo kweli
Dada yako mzima kabisa yupo busy anakaanga uwono. Sijuii ulisha pata kuusikia??Tupo shemeji. Kumepoa humu ziro kabisa...Kwema huko? Dadangu hajambo?
Haaaaaaa.Tukuulize wewe.....
Hivi Mchina yupo kweli?
Hivi Big Baba yupo kweli?