Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha haya ni kula na kuliwa....Na ridhiki zinapatikana kwa shida !!+
8de19e04bbf4fff05f1dee16f66362da.jpg
Kula na kuliwa ni maisha yetu kila siku
 
Baada ya oksijeni, maji ndicho kitu pekee ili kuishi. Zifuatazo ni baadhi ya KAZI 41 mhimu ZAIDI za maji mwilini:

1. Bila maji hakuna kinachoishi. Wakati wowote unapopungukiwa maji, baadhi ya seli zako ndani ya mwili hufa.

2. Panapotokea upungufu wa maji, kitu kimoja lazima kipotee, baadhi ya kazi za seli hufa.
Maji ni uhai hakika
 
Back
Top Bottom