Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mzee wa liver kwema.Hahaha hahaha
Mzee wa liver kwema.Hahaha hahaha
Hukuta nyama yote imeisha...Simba mwenda pole
Sijambo mzee wa liver, habari ya wewe mpendwaJakitoo wa buyenze hujambo mamaa
Mafahari wawili hawakai zizi moja
Na kwako piaUsiku mwema kwa wote humu ndani
Mtoe kwenye tenga umtupe aliwe na kunguru!Samaki mmoja akioza
Pesa auPm yangu imejaa
HooooooMademu kila kona
...Actually, hakuna sababu ya kumkunja!Samaki mkunje
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji3]
...hutupwa !!!Nazi mbovu
Hatari sanaDuh! Hii kitu ina majina lukuki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaAaa wapi. Huwa nakapenda kaWenga tu basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kilio chake husikika mbali zaidi!Jogoo wa shamba
Huliwa !!!Kuku mgeni
What to expect when you are expecting
Kwema mkuuMzee wa liver kwema.