Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
ZilipendwaVideo: Mafuriko ya Mrema mwaka 1995. Nyerere aonekana akitetemeka...
Video: Mafuriko ya Mrema mwaka 1995. Nyerere aonekana akitetemeka...
Lete likesLikes junkies are all here
Lete likesZa kugawa likes kama njugu
Hahaha hahahaMimi ni nani mpaka nisitake likes
Mkuu niajeFuraha ilioje hata Cole Williams kukuona ukikita kambi hapa Kijijini
Alimtingisha Nyerere mpaka akasema eti hatakubali nchi yake itawaliwe na mbwa. Mrema hakuwa mchezo mwaka ule.....Zilipendwa
Mkuu umeniacha ngomosi ndio niniKuna mjomba akiona Ngomosi anatapika.