Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-16-19-56-31.png
 
That's my girl [emoji23][emoji23][emoji23]. Ila seriously, supu ya konokono ni kiboko. Ni nzito, tamu na iliyojaa virutubisho adimu sana. Tatizo lake inalaza.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama hile ya kule[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
USILOLIJUA KUHUSU KONOKONO
Konokono hana mfupa wowote kwenye mwili wake na pia konokono ni aina ya
"Hermaphrodites",
Kwa maana kuwa wanamiliki jinsia mbili(kiume na kike). Kwenye kujamiiana
wanaviziana, atakaeruhusu kupandwa ndiyo anakuwa jike wakati huo na atataga mayai.Huyo ndio konokono[emoji13][emoji13]:: lakin embu fikiria: binadamu tungekua
"Hermaphrodites" na hizi akili zetu
ingekuwaje? Tungetembeleana kweli? Mkeo ukimzingua anakuvizia usiku umelala anakupa mimba! Unacheka!, shauri yako shukuru Mungu.[emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu ni mwema hakika
 
ከታች ያለውን ቁጥር Copy አድርገው በመደወል free internet ይጠቀሙ 100% free ETC block እስኪያረገው ፈታ ይበሉበት

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
*999*1*2*2*1*1*942144705 *1###
Pata like mkuu sikupati kabisa
 
Back
Top Bottom