Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Is NASA preparing for civil war
Mbunye.Mkuu umeniacha ngomosi ndio nini
Pamoja mkuu lakini sasa wewe ni mshabiki wa arsenal[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sishabikii mpira. Simba ni wanyama magnificent sana kwa kuwaangalia tu. Hawana hofu na wako juu ya msimbo tata wa kula na kuliwa (food chain). I admire their courage, fear factor and their majestic and imposing physique...hence the name SBY !!!
YapLikely.....Hilo domo likipanuka hata Vitz inaingia....Hippo - the most dangerous mammal in Africa !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sikutaka kwenda huko mkuu. Ndiyo maana niliamua kutumia neno la kizungu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
20:2719:57
I hate politics mkuu sidhani kama nitagombea Siku yoyote katika uhai wa maisha yangu nilikuwa na nafasi hii kubwa ya kufanya hivyo lakini nilikataa napenda marafiki sipendi kupunguza marafiki kwa ajili ya siasaKwema kamanda. Sijui kwa nini sometimes nikikuonaga natamani tu kupayuka "Pipoooooooooooooooozi !!!"
Uchaguzi uliopita uligombea?
Kweli kabisa mkuuMnapoweka haya matangazo ya hawa matapeli ni vizuri kuondoa namba zao. Otherwise mnawasaidia....[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
![]()
Yap mkuu ndio tunagongaLikes za usiku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lakini tamu kwa wanaotumia mambo ya baketeria ni mapito tuIle ya kule, kulingana na Dr. wetu hapa imejaa mabakteria mabilioni. Si ya kufakamia hivi hivi ile ohooo !!![emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Hatari sana USA Air force wanatumia akili yakeAnakuja chini kwa spidi inayozidi 90 miles/hr na ni lazima awe katika perfect angle 90 degree huku amejinyoosha sawa sawa kama mstari. Akikosea tu angle zikaingilinia anajibamiza kwenye maji na kukata roho mara moja....
Hahahahaha sawa kabisa mkuuHata mimi mkuu sipati cho chote. Ki-Amharic hicho. Likes ndo muhimu haya mengine tuwaachie wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mkuu Nina visa vingi vya kuelezea next time nikiwa na muda
Mia mia mkuu
Mia mia[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]
![]()
Ni kweli mkuu chaguo la nyerere mkapa alikuwa sahihi kwa wapiga kura ikabidi aingie front mwenyeweAlimtingisha Nyerere mpaka akasema eti hatakubali nchi yake itawaliwe na mbwa. Mrema hakuwa mchezo mwaka ule.....