myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
21:04
Hahaha asante mzee wa liver naona ukabadilika ghaflaMkuu habari ya jumatatu
Hongera kwa kupata sare Na majogoo
Cole[emoji137] [emoji137]MIMI NI NANI HATA NISILIKE POST YAKO.
Am gud SYB,nimekuja wasalimu tu naenda kulala[emoji42][emoji42][emoji42]Amen. That's it? Umepita tu kusalimia? Are you Ok?
Nawasalimia kwa umoja wenu[emoji137][emoji137][emoji137]Hahaha asante mzee wa liver naona ukabadilika ghafla
Cole[emoji137] [emoji137]
Nipo salama. Nilimuuliza Cole hapa kukuhusu lakini naye naona alinichunia. Shifti zimechanganya ama?. Basi lala salama shemeji. No insomnia, no show za kibabe, no nothing - just nice relaxing deep sleep [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Am gud SYB,nimekuja wasalimu tu naenda kulala[emoji42][emoji42][emoji42]
Habari ya wewe lakini mana sijakuona tangu jana sijui juzi
Tumeitikia[emoji4] [emoji4]Nawasalimia kwa umoja wenu[emoji137][emoji137][emoji137]
Yawezekana ni yeye...Wanafanana
![]()
Home now? Siku yako ilikwendaje?Tumeitikia[emoji4] [emoji4]
habari yako carba